Tanzania tunayoipigania

Tanzania tunayoipigania

ACT inaamini katika misingi ya Ujamaa wa kiDemokrasia (Democratic Socialism) ikiwa na ngao tatu zifuatazo

Ilani hii inabeba maono ya kuijenga Tanzania mpya – Taifa la Wote kwa Maslahi ya Wote.

Pakua/Download

Katika miaka mitano iliyopita (2015-2020), nchi yetu imepitia na inaendelea kupitia misukosuko mingi mikubwa iliyosababishwa na utawala wa kikandamizaji wa Chama Tawala. Makundi mbalimbali, kama si yote, ya jamii yetu yameumizwa na maamuzi, sera na matendo ya watawala wa nchi yetu.

Pakua/Download

Ili wananchi waweze kuwawajibisha viongozi
wao ni lazima wawe na taarifa sahihi na kwa
wakati unaofaa.

Pakua/Download