KATIBA YA ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT WAZALENDO)

-

KATIBA YA ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT WAZALENDO)

Toleo hili linajumuisha marekebisho yote yaliyofanywa na kukubaliwa na
Mkutano Mkuu uliofanywa Dar es Saalam kuanzia tarehe 14 na 15 Machi,
2020. Pia Marekebisho hayo yanatilia maanani maendeleo ya kisiasa ya
Chama chetu na ya Tanzania kwa ujumla ili kukiimarisha zaidi.
Vilevile marekebisho haya yamefanywa kukidhi matakwa ya mabadiliko ya
Sheria ya Vyama vya Siasa ya namba. 5 ya 1992 kama ilivyorekebishwa na
Sheria ya marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa Na. 1 ya 2019

Toleo hili ni la pili kutolewa tokea Katiba hii ya Alliance for Change and Transparency
(ACT Wazalendo), Chama cha Wazalendo kutungwa mwaka 2015.

Pakua/Download

KWA KUWA tumeamua kupambana dhidi ya rushwa, ufi sadi, uzembe na uvivu; tumeamua kuhakikisha kuwa maliasili ya Nchi yetu Tanzania ni mali ya wananchi wote na kwamba lazima itumike kutokomeza umaskini nchini kwetu na kuleta maendeleo sawia na endelevu ya kiuchumi, kijamii, kiutamaduni na kisiasa;

Pakua/Download

Linalohuisha Azimio la Arusha lililotolewa na Chama cha TANU mnamo mwezi Februari mwaka 1967 na kutangaza rasmi siasa ya Ujamaa na Kujitegemea.

Pakua/Download

Toleo hili ni la kwanza kutolewa tokea katiba hii ya Alliance for Change and
Transparency (ACT WAZALENDO) Chama cha Wazalendo kutungwa mwaka
2015.